BREAKING NEWS 🔴: TETEMEKO LAUA JAPAN
Habari Kamili
Usiku wa jumaatano tetemeko lenye ukubwa wa magnitude scale 7.4 limeikumba nchi ya Japan northeast coast ya Fukushima .
Watu wapatao 04 wamefariki dunia kutokana na tetemeko hili . Hata hivyo uharibifu mkubwa wa miundombinu ni sehemu ya athari za tetemeko hili.
Hata hivyo inaelezwa kuwa mapema mwanzo wa wiki hii ilitabiriwa kuwa Japan itakumbwa na Tsunami.
Mwisho wa habari hii .
Shukrani endelea kuwa karibu nasi.
Post a Comment