Header Ads

BREAKING NEWS 🔴: MAUNDA ZORRO AFARIKI

 AJALI YA GARI KUKATISHA UHAI WAKE 


Summary: 

Kaka wa Maunda Zorro, Banana Zorro amethibitisha kutokea kwa kifo cha ndugu yake kutokana na ajali ya gari. Banana Zorro amethibitisha kutokea kwa kifo cha dada yake alipozungumza na Ayo tv. 

Msanii wa muziki wa bongofleva , Maunda Zorro amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kupata ajali ya gari.

Banana Zorro kaka wa Maunda Zorro amethibitisha kutokea kwa kifo cha ndugu yake alipozungumza na Ayo tv jijini Dar es Salaam .

Katika taarifa yake Banana Zorro ameeleza kuwa hadi kufikia jana jioni yeye na Maunda Zorro walikuwa pamoja kwenye msiba wa rafiki yao wa karibu lakini baadae ndipo akapata taarifa za msiba wa Maunda Zorro.

Tafadhali endelea kuwa karibu nasi kwa taarifa zaidi 

3 comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.

Powered by Blogger.