Kenya Update 🔴: Uhuru Kenyatta ahotubia Wakenya.
Watch this video from Kenya
President Uhuru Kenyatta announcing kenyans.
Leo ni siku mbaya kwa serikali ya nchi ya Kenya baada ya Rais wa Tatu wa Kenya Mwai Kibaki kufariki dunia. Mwai Kibaki ambae ameongoza Taifa la Kenya kuanzia 2003-2013 amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 90.
Mwai Kibaki atakumbukwa sana na watu wa kenya kutokana na mchango wake mkubwa uliogusa maisha ya Wakenya wengi katika nyanja zote za kiuchumi, kijamii na kisiasa .
Tafadhali Tazama video hii kufahamu zaidi kuhusu hayati Mwai Kibaki wa Kenya.
Post a Comment