UPDATE 🔴 : NEXT FASHION BRAND NA MAUZO YA ONLINE
NEXT FASHION BRAND ONLINE STORE
Picha: NEXT_FASHION_BRAND
Summary:
Next Fashion Brand zaidi ya miaka minne katika uuzaji wa nguo na bidhaa nyingine za urembo . Mabadiliko ya soko yanayosababishwa na ukuaji wa teknolojia yamesababisha wao kuamua kuuza online. Ni mpango endelevu hivyo kuwa tayari kununua online .
Uongozi wa next fashion brand unapenda kuwaeleza kuwa kuelekea msimu huu wa sikukuu wameamua kufanya mabadiliko katika soko la bidhaa zao za nguo na urembo . Miaka yote brand hii ya nguo imekuwa ikiuza physical lakini kutokana na mabadiliko ya soko yanayosababishwa na ukuaji wa teknolojia yamesababisha brand hii kubadili mfumo wa mauzo ili kuendana na teknolojia ya masoko .
Modealer Online TV kama mabalozi wa brand hii kwa niaba ya uongozi wa brand hii tunapenda kuwaomba wadau mbalimbali kupokea mabadiliko haya .
Uaminifu, hekima na busara ni sehemu ya brand hii . Ubora wa bidhaa zao ni kipaumbele kikubwa sana.
" Tumeamua kuungana kwa pamoja ili kumudu hili , Modealer Online Tv , Modealer Photography , Nice Kuku Brand na Yusra Collection , tumeamua kutoa bonasi ya zawadi kwa wateja wetu wa kudumu online ......" timu ya mauzo ilisema .
Ili kuepuka kutapeliwa na watu wasiohusika utaratibu mahususi umewekwa kwaajili ya usalama wako ewe mteja . Kwanza kabisa kabla ya kununua bidhaa unatakiwa kupiga simu (video call ) kisha utachagua kile unachohitaji . Hakikisha kuwa unanunua bidhaa kwa mabalozi tajwa kupitia account zao za instagram ambazo kwenye bio zina link ya website hii ya modealertv.blogspot.com
Mabalozi wote wa brand watakuwa katika ukurasa wa instagram wa brand hii hakikisha mtu anaekuuzia bidhaa ndie ambae umemuona katika ukurasa wa instagram. ID ya brand hii ni moja tuu ambayo ina utambulisho wa kiongozi wa brand hii . Utaratibu mwengine utahabarishwa hapa .
SPONSORED TEXT
Tangazo mahususi kutoka next fashio brand .
Kumbuka kupata picha za matangazo, harusi, birthday , food Photography, Fashion Photography, babies Photography na portrait photography kutoka modealer_Photography instagram .
Post a Comment