UPDATE 🔴: SAFARI MPYA ZA NDEGE QANTAS
AUSTRALIA TO LONDON
Summary:
Shirika hilo limepanga mpaka kufikia mwishoni mwa mwaka 2025 safari za ndege kutoka Australia hadi London na New York zitakuwa zimekamilika katika utekelezaji .
Shirika la ndege la Qantas huko nchini Australia limetangaza mpango wake wa kufanya safari zake za ndege kutoka Australia hadi London na New York . Shirika la ndege la Qantas limetangaza kuwa safari hizi zitakuwa za moja kwa moja na zitakamilika rasmi mnamo mwishoni mwa mwaka 2025 .
Hata hivyo shirika la ndege la Qantas limesema katika ripoti yake kuwa safari hizi za ndege zitakuwa za saa 20 angani moja kwa moja . Sambamba na hayo shirika la ndege la Qantas limesaini mkataba wa ndege nyingine aina ya airbus.
Kaa karibu na modealer online Tv
Post a Comment