Header Ads

UPDATE 🔴: SOKO LA KARUME LIMEUNGUA TENA

 

                       DAR ES SALAAM 

Summary: 

Kamanda wa kikosi Cha Zimamoto na uokoajii mkoa wa Ilala Elisa Mugisha amethibitisha kutokea kwa tukio hiki.

Alfajir ya leo April 08 2022 soko la karume lililopo Ilala Dar es Salaam limeteketea kwa moto . Chanzo Cha moto huo bado hakijajulikana mpaka sasa.  Kamanda wa kikosi Cha Zimamoto na uokoajii Ilala Elisa Mugisha amethibitisha kutokea kwa ajali hii. Inaelezwa kuwa karibu vibanda 30 vya wafanyabiashara wa soko hilo vimeteketea kwa moto huo . Hata hivyo bado hasara Kamili haikuwekwa wazi.

Ni miezi michache imepita tangu soko hilo kuteketea kwa moto mara ya kwanza ,ambapo hasara ya billion 7 za kitanzania ilitokea.

      Kaa karibu nasi kwa taarifa zaidi. 

No comments

Note: only a member of this blog may post a comment.

Powered by Blogger.