Header Ads

UPDATE 🔴: WILL SMITH AFUNGIWA MIAKA 10 OSCAR

 MAAMUZI YA HOLLYWOOD ACADEMY 

               Will Smith slapping Chris Rock 

Summary: 

Will Smith amefungiwa kushiriki tuzo za Oscar kwa miaka kumi mfululizo . Hollywood academy imefikia uamuzi huu mgumu mnamo siku ya ijumaa ( Jana) .

Loss Angeles:  Hollywood Film Academy siku ya ijumaa (Jana) imemfungia  Will Smith kwa miaka kumi kushiriki tuzo za Oscar baada ya kumpiga kofi Presenter Chris Rock jukwaani siku kumi na mbili zilizopita . 


Bodi ya wasimamizi wa academy ya motion picture, arts and science wamechukua maamuzi haya kwenye kikao kilichokaliwa wiki moja baada ya Will Smith kujiuzulu uanachama wake Hollywood academy of motion picture, arts and science .

" Tuzo za 94 za Oscar zilimaanisha kuwa furaha na shereheko kwa watu kwenye jamii yetu ya watu ambao wametenda mambo makubwa mwaka huu...." Rais wa academy David Rubin na Chief Executive Dawn Hadson walisema.

Hata hivyo David Rubin amesema kuwa kumbukumbu zote za furaha zimeharibiwa na kupotezwa kwa  vitendo visivyokubalika na tabia mbovu . 

"Tumeshuhudia Smith akitenda uovu jukwaani hii haikubaliki ..." Alisema. 

Will Smith bado anaendelea kupata adhabu za kisaikolojia kwa kofi alilompiga presenter Chris Rock jukwaani mwaka huu kwenye Oscars. 

           Tafadhali kaa karibu ya blog hii . Wasiliana nasi kutupatia habari za kweli za eneo lako ( Be our family) 



No comments

Note: only a member of this blog may post a comment.

Powered by Blogger.