Header Ads

BILL GATES: MELINDA NI BORA NITAMCHAGUA

 BILL GATES NITAMCHAGUA MELINDA 


Summary: 

"Melinda ni bora kwangu , japo tumeachana nitamchagua yeye siku zote kama chaguo langu la kwanza" bill gates. 

Tajiri Bill Gates amethibitisha kuwa bado Melinda gates atabaki kuwa chaguo lake la kwanza kama mwanamke bora kwake.

Akizingumza katika interview maalum kuhusu ndoa yake na Melinda, Bill Gates amesema kuwa atamchagua Melinda gates kama mwanamke sahihi kwake .

Bill Gates na Melinda Gates waliachana mwezi May mwaka 2021 baada ya kuishi kwenye ndoa miaka 27 . 

 Jee! Bill gates anao mpango wa kutaka kurudiana na Ex-wife wake ? Kaa karibu.



No comments

Note: only a member of this blog may post a comment.

Powered by Blogger.