MAITI YA KALE YAGUNDULIWA
ILIZIKWA MIAKA 7000 ILIYOPITA
Summary: imegunduliwa katika ardhi kame na miamba katika jangwa la Atacama nchini Chile.
Chile: Mwanatafiti na mgunduzi wa masalia ya kale ya kihistoria Dr. M.F.Khan amefanikiwa kugundua mabaki ya maiti ya kale inayokadiriwa kuzikwa 5020 BC.
Maiti hiyo imegunduliwa katika ardhi kame na yenye miamba katika jangwa la Atacama nchini Chile. Maiti hiyo iliyokutwa imevishwa nguo za ngozi imezua taharuki baada ya kukutwa nywele zake zikiwa bado ni zenye muonekano halisi.
Post a Comment