Header Ads

UKUAJI WA UCHUMI UMEONGEZEKA

 

Tanzania: Wizara ya fedha na mipango imesema kuwa imepata mafanikio mengi ndani ya mwaka wa fedha 2021/2022 ikiwa ni pamoja na na kuongezeka kwa kasi ya ukuaji uchumi na kuwezesha mfumuko wa bei kubaki ndani ya matarajio ya wigo wa nchi .

No comments

Note: only a member of this blog may post a comment.

Powered by Blogger.