Watano Wakalia Kuti Kavu Utenguzi wa Rais Samia Suluhu Hassan

HABARI KUTOKA IKULU YA NCHINI TANZANIA LEO, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA UTENGUZI WA NAFASI ZA VIONGOZI WATANO .

Ikulu Habari Mawasiliano Tanzania
Image credit: Tangazo la utenguzi wa nafasi za viongozi watano leo 24 January 2023 , kutoka ikulu mawasiliano: Image ikulu twitter .

Rais wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan leo January 24 amefanya utenguzi wa nafasi za viongozi mbalimbali , viongozi hao ni pamoja na 

1. Bw. Reubeni  Ndiza Mfune - Mkuu wa Wilaya ya Mbarali 

2. Bw . Msongela  Nitu Palela - Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri Ya wilaya ya Musoma, Mara 

3. Bw. Michael Augustino Matomora - Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri Ya wilaya ya Iramba , Singida . 

4. Bw. Linno  Pius Mwageni - Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri Ya wilaya ya Ushetu , Shinyanga 

5. Bw . Sunday Deogratius Ndori - Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri Ya wilaya ya Ludewa, Njombe .

Aidha utenguzi huu ulianza tangu tarehe 22 January 2023. 


Next Post Previous Post
sr7themes.eu.org