Chelsea vs Borussia Dortmund match
Full time Chelsea vs Borussia Dortmund
Chelsea football club imefanikiwa kuifunga Borussia Dortmund bao mbili kwa sifuri, mchezo uliomalizika kwa furaha kubwa kwa chelsea na mashabiki zake baada ya ushindi huu muhimu.
Ni mara ya kwanza kwa club ya chelsea kushinda bao mbili katika msimu huu wa 2023, ikumbukwe kuwa club ya chelsea imekuwa ikiondoka na matokeo mabaya katika michezo yake kadhaa iliyopita. Hivyo basi chelsea inafuzu kuingia robo fainali kwenye champion league.
