Breaking News Nchi Za G7 Zaitishia Iran Kuendelea Kuipa Russia Vifaa Vya Kijeshi

G7 Zaitishia Iran Kuendelea Kuipa Russia Vifaa Vya Kijeshi Na Kivita . 

Vifaa Vya Kijeshi Na Kivita Iran

Breaking News: Nchi wanachama wa G7 imeitishia nchini ya Iran kuwa itakumbana na vikwazo vikali iwapo kama itaendelea kuipatia nchi ya Russia vifaa vya kijeshi na kivita. Kwa mujibu wa nchi za G7 inaaminiwa kuwa iwapo Iran itaendelea kuipatia Russia vifaa vya kijeshi na kivita itazidi kuchochea uvunjifu wa amani katika ukanda wa nchi zao. 

Inaripotiwa kuwa Iran siku za hivi karibuni imeipatia Russia idadi kubwa ya vifaa vya kijeshi na kivita ikiwemo mabomu ya masafa pamoja na vifaa vingine. Hata hivyo kupitia chapisho la mtandao wa X ukurasa wa BRICS umethibitisha kuwa kwa mwaka 2023 hadi kufikia mwishoni mwa mwaka Iran ndio nchi inayoongoza kwa kutawanya vifaa vya kijeshi na kivita. 

Hata hivyo serikali ya Iran kamwe haitilii akilini vitisho vya G7 baada ya kuweka hadharani mpango wake wa kutaka kufanya ujenzi wa kinu kikubwa zaidi cha Nuclear.