Breaking News: Serikali ya Niger rasmi imetangaza kuvunja uhusiano wake na USA leo hii. Niger inavunja uhusiano wake na USA huku ikiwataka wanajeshi wa USA kuondoka nchini humo mara moja .
USA nchini Niger inamiliki kambi kubwa ya kijeshi yenye idadi kubwa ya vifaa vya kijeshi na kivita vya kisasa ikiwemo drones na vifaa vingine muhimu. Hata hivyo Niger kabla ya kuitaka USA kuondoa vikosi vyake nchini humo, Niger ilianza kwa kuvunja makubaliano na united states. Niger nchi iliyopo Afrika Magharibi imefikia uamuzi huu mgumu katika kipindi hiki ambacho kumekuwa na migogoro kadhaa middle east.