Header Ads

Goli La Chama Simba SC vs Mashujaa Leo

Goli La Chota  Chama Simba SC vs Mashujaa   

Goli La Chama Simba SC vs Mashujaa Leo

Simba SC vs Mashujaa FC leo , Chota Chama anaiandikia bao la kwanza Simba SC dakika za kipindi cha pili baada ya kutoka bila kufungana dakika 45 za kipindi cha kwanza , Simba SC 1-0 Mashujaa FC mchezo bado unaendelea, nani kuibuka mshindi? dakika 90 na nyongeza zake zitaamua.

Powered by Blogger.