HISTORIA YA TIGO.
Historia ya kampuni ya tigo Tanzania ilianza kuandikwa mnamo mwaka 1994. Chini ya kampuni kubwa ya Millicom , Kampuni ya kimataifa ambayo inafanyakazi katika Mataifa kumi na mawili huku ofisi zake kuu zikiwa Europe na U.S.A .
Kabla ya kuitwa tigo ilianza kufahamika kwa majina mbalimbali . Kwanza kabisa ilianza kufahamika kama Mobitel . Mwaka 1998 ilifahamika kama Simu poa na kuanzisha huduma ya malipo ya kabla maarufu kama kadi poa .
Mwaka 1999 alijulikana kama Mobinet brand na kutoa huduma ya internet ya bure
Mwaka 2000 September kwa kushirikiana na Ericsson Mobitel ilianzisha digital GSM network jijini Dar es Salaam. GSM ilifanya na kuendesha biashara zake chini ya BUZZ .
Mwaka 2006 Buzz ilibadilishwa jina rasmi na kuitwa tigo.
Tigo imefanikiwa pakubwa sana katika kuanzisha na kuendesha huduma mbalimbali na hata katika kupata watumiaji na wafanyakazi wengi zaidi.
Huduma zake ikiwemo Tigopesa , App& ios ,Tigo music nk.
Mwaka 2015 tigo ilisimika 4G LTE jijini Dar es Salaam na ilipofika mwaka 2017 huduma hii ilifikia watu wengi zaidi. Katika upande wa vituo vya huduma ya mawasiliano mpaka kufikia mwishoni mwa 2019 tigo ilikuwa na vituo vya huduma za mawasiliano zaidi ya 2000.
Huku ikijizolea wafuasi milioni 10 na wafanyakazi zaidi ya 300,000.
Hiyo ndio safari ya tigo kuanzia ipotoka mpaka ilipo sasa .
Reference
Millicom.
Tanzania communications Regulatory Authority 2020.
Post a Comment