Header Ads

MICHAEL COLLINS AFARIKI DUNIA.



 Mwanaanga wa Apollo 11 Michael Collins afariki dunia akiwa na umri wa miaka 90.

Mwanaanga huyu hatosahaulika kwa kujaribu ile moduli ya amri. Msemaji wa familia anasema alikufa jumaatano baada ya kuugua saratani huku muda mfupi kabla ya kifo chake alikaa vyema na familia yake na alikufa hali ya kuwa familia yake iko pembeni yake.

Kama itakumbukwa mwanaanga huyu alisafiri karibu maili 238,000 kwa mwezi. Haya hapa maneno ya msemaji mkuu wa familia.

" We regrate to share that our beloved father and grandfather passed away today after a valiant battle with cancer. He spent his final days peacefully with his family by his side.."

RIP Collins.

No comments

Note: only a member of this blog may post a comment.

Powered by Blogger.