Header Ads

TAHADHARI.

 


Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania imetoa tahadhari kwa wakazi wa visiwa vya unguja na pemba pamoja na wakazi wa jiji la Tanga juu ya mvua kubwa inayotarajiwa  kunyesha katika maeneo tajwa . 

Aidha kero ambayo itawapata wakazi wa maeneo hayo ni pamoja na kuchelewa kwa shughuli mbalimbali za kijamii kutokana na maji mengi katika maeneo mbalimbali.

No comments

Note: only a member of this blog may post a comment.

Powered by Blogger.