TIKTOK & UVUMBUZI
Katika siku za hivi karibuni jarida la times la marekani limetoa orodha ya makampuni 100 yenye ushawishi zaidi duniani 2021 . Makampuni hayo ni pamoja na Alibaba, Huawei ,Tencent, , Tiktok, Byd nk.
Kampuni ya alibaba na Tencent zimehesabika kama kampuni zenye nguvu zaidi. Huawei kampuni yenye muelekeo mzuri . Huku kampuni ya tiktok na byd kampuni zenye uvumbuzi zaidi.
Post a Comment