JAFO AKAMATWE.
Waziri wa nchi ofisi ya makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe Selemani Jafo ameagiza kukamatwa kwa Bw Kaissy Mkurugenzi wa kampuni ya Seif for Tobacco Trading Co .Ltd aliyeingiza makontena zaidi ya miatano yenye malighafi ya molasesi iliyoharibika na kuyatelekeza katika bandari ya dar es salaam.
Ameagiza haya leo hii baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika bandari ya dar es salaam.
Post a Comment