WATU WENGI DUNIANI WANAUGUA NYONGEA
Kwa mujibu wa wataalamu mbalimbali wa afya na tiba lishe ina thibitishwa kuwa watu wengi wanaugua nyongea bila kujijua .
Kwa kawaida ngozi ya mwanadamu haihitaji kuvutika sana Badala yake inahitaji kushikana na misuli vizuri kuunda umbo zuri la muonekano wenye siha .
Muangalie kwa makini mtoto mdogo wa miezi mitatu mwenye afya ngozi yake ilivyo . Haina, chunusi , mikwaruzo wala kipele . Hii ni kutokana na uwepo wa virutubisho muhimu mwilini mwake .
Ukiangalia kwa makini karibu watu wazima wengi ngozi zao ukishika na kuzivuta basi huvutika kama mpira . Hii hutokan na ukosefu na upungufu wa virutubisho muhimu. Unywaji maji hafifu na ulaji wa vyakula dhaifu .
Unafikiri ni kwanini watu wazima wengi huwa na afya ya ngozi dhaifu mbali na sababu tajwa hapo juu?
Post a Comment